Joshua 24:33

33 aNaye Eleazari mwana wa Haruni akafariki akazikwa huko Gibea, mlima aliokuwa amepewa mtoto wake Finehasi, kwenye nchi ya vilima ya Efraimu.
Copyright information for SwhKC